Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

HEBU ANGAIKA NA MADANGA YAKO KOKOO UACHANE NA MIMI NA MIMI SIO DADA YAKO NA PIA JINGINE WEWE NI MZEE TU HADI MENOPOUSE INAKUANDAMA SIKU ZA HEDHI DADA HAKUNAGA MJINI KILA MTU ANAPAMBANA NA HALI YAKE YAMAISHA
😂😂😂😂😂😂😂😂 mwe!


Ulikua unanijibu mimi au umechanganya madesa?1
eti Unique Flower??

au ndio betri lishavimba?
 
Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa.

Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia.

Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo namuomba Mungu azidi kutuwekea mkono wake tufike miaka mingi zaidi na Happy birthday kwake pia. Intelligent businessman
Happiest birthday Darling sis
Bwana na akupe maisha marefu
Tunakupenda.
 
Babu yao najua namna ya kucheza nao, alinifundisha babu yako Grahams
Mzee mwenzangu hao wa elfu 2 kuwa nao makini

Mimi Sina hamu nao tangu watake kunipandisha kisukari na pressure at per

Tangu lini Mzee wa miaka 79 akaweza mbio ndefu kama Vijana 🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom