Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

Hongera Sana kwakuwa umefika ghorofa ya 3

Afya ya akili na mwili uvipe kipaumbile
Kula balance diet.
Punguza mtungi na ikiwa hautumii usitumie in ur lifetime
Sigara and weed abstain
Junk food ukiweza acha au punguza.

Pia sex control hapo sex kwa KE inawazeesha na kwa ME inaua.
 
Sio mda mrefu tulikuwa tuaongea na jamaa zangu hapa, mtoto wa 2005 ana 30yrs. Life's too short.

Anyway, happy birthday to the author.
Asante sana mkuu. Ila wa 2005 sio anakuwa na 20 yrs au ndio nimezeeka mno 😀😀😀
 
Hongera Sana kwakuwa umefika ghorofa ya 3

Afya ya akili na mwili uvipe kipaumbile
Kula balance diet.
Punguza mtungi na ikiwa hautumii usitumie in ur lifetime
Sigara and weed abstain
Junk food ukiweza acha au punguza.

Pia sex control hapo sex kwa KE inawazeesha na kwa ME inaua.
Asante sana kwa wishes na ushauri mkuu.....umepokelewa 🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom