Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

Leejay49 sikiliza wewe nakuambia wewe uliojichokea unajiona ni walishua kumbe chumba kimoja nakuignore nuksi ya jf
Em niambie kwanza nimekukosea nini mrembo??. Shida kukujulia hali??

Hata hivyo mzee wangu anataka aongeze mke wa pili karibu walau uone ushua unafananaje maana uko bitter sana na Watoto wa kishua sijui walikufanyaga nini maskini😂😂😂

Enwei Nisamehe mimi, nimekosa mimi , nimekosa sana🙏🙏🙏🙏🙏
 
Baelezee baambie baelewe 😃 😃
 
Mzee mwenzangu hao wa elfu 2 kuwa nao makini

Mimi Sina hamu nao tangu watake kunipandisha kisukari na pressure at per

Tangu lini Mzee wa miaka 79 akaweza mbio ndefu kama Vijana 🤗
😅😅😅😅😅mbio ndefu tuwaachie vijana wenzao, sisi tuwaalike kulamba asali na kuchezea sharubu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom