Intelligent businessman ni mdogo sana huyo hata 25 bado hajafika sema tuu ana kelele nyingitrudie kweli Intelligent businessman ni mdogo ana 25 uongoo
Roho inaniuma kila siku nikiona comments zako,.trudie kweli Intelligent businessman ni mdogo ana 25 uongoo
Usifanye mbinu ya kuninyima hiyo cake Mjukuu 🤗Leo sijakata keki babu uchumi umekuwa mgumu, nasubiri kaka yangu Intelligent businessman anifanyie suprise tukate pamoja
HEBU ANGAIKA NA MADANGA YAKO KOKOO UACHANE NA MIMI NA MIMI SIO DADA YAKO NA PIA JINGINE WEWE NI MZEE TU HADI MENOPOUSE INAKUANDAMA SIKU ZA HEDHI DADA HAKUNAGA MJINI KILA MTU ANAPAMBANA NA HALI YAKE YAMAISHARoho inaniuma kila siku nikiona comments zako,.
Hivi kwanini umeitelekeza ile Id nyingine da Maua?
Jamani babu basi ngoja nimwite mdogo wangu Intelligent businessman akufundishe kutumia sim banking tuwahu kukata keki😂😂😂Usifanye mbinu ya kuninyima hiyo cake Mjukuu 🤗
Ningekuwa najua namna ya kutuma salio kupitia Simbank ningekurushia ili tuwahi cake kabla maduka hayajafungwa, bahati mbaya Babu yenu ndiyo sijui eti 😜
Kwa kweli Mjukuu...Jamani babu basi ngoja nimwite mdogo wangu Intelligent businessman akufundishe kutumia sim banking tuwahu kukata keki😂😂😂
Mzee hauja acha uhuni 😂🤣Kwa kweli Mjukuu...
Japo nitafurahi ukija kunifundisha wewe, hiki kichwa changu ni kizito nikifundishwa na mtu mwingine ujue 🤗
Muulize Kama amesha unga Nisha akaunti yake na sim banking?Jamani babu basi ngoja nimwite mdogo wangu Intelligent businessman akufundishe kutumia sim banking tuwahu kukata keki😂😂😂
Una taka niwe na ngapi?trudie kweli Intelligent businessman ni mdogo ana 25 uongoo
Sija kuwepo jf hiyo 2015, nime jiunga 20222015 hadi leo awe 25 uongo mimi nimeifungua yangu 2022 nimemkuta huyu kijana trudie
Sasa sister kelele zipi ? 🤣🤣Intelligent businessman ni mdogo sana huyo hata 25 bado hajafika sema tuu ana kelele nyingi
Kuweni na huruma na Wazee 🤗Mzee hauja acha uhuni 😂🤣
Kweli we hamnazo😂🤣Umezaliwa tarehe kama ya leo ewe nusu kaputi
34 wewe.sio mdogoUna taka niwe na ngapi?