Happy birthday to me Trudie

Happy birthday to me Trudie

Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa.

Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia.

Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo namuomba Mungu azidi kutuwekea mkono wake tufike miaka mingi zaidi na Happy birthday kwake pia. Intelligent businessman
🎈🎁🥳
Happy birthday mwana JF
 
😅😅😅😅😅mbio ndefu tuwaachie vijana wenzao, sisi tuwaalike kulamba asali na kuchezea sharubu.
Umesema sahihi Mzee mwenzangu, uzuri wa sisi Wazee wa Umri huu hatuna haja ya kukamia pambano.

Akisha aanza kukuimbia na Maiki, tunakuwa tumeridhika tayari.

Unajikuta unamkabidhi password ya ile akaunti ya pension, anaenda kujisevia

Umenikumbusha kuhusu asali, hapa nimevuna juzi Lita 65 kwaajili yao ...🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom