Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,362
- 96,650
Ahh wewe niko single since. 2023 kudadadeki 😂 😂ASante sana kaka yangu.....heee zawadi ya wifi unaonaje ikawa ya mwakani mwaka huu tuangalie zawadi nyingine😂😂😂😂
Ahh wewe niko single since. 2023 kudadadeki 😂 😂ASante sana kaka yangu.....heee zawadi ya wifi unaonaje ikawa ya mwakani mwaka huu tuangalie zawadi nyingine😂😂😂😂
Aamiin Mjukuu 🙏🙏Asante sana babu Mungu akupe maisha marefu pia.
Mbona unataka kuwaharibia soko watoto wa elfu 2 wakati ndiyo hot cake Siku hizi 🤗Sio mda mrefu tulikuwa tuaongea na jamaa zangu hapa, mtoto wa 2005 ana 30yrs. Life's too short.
Anyway, happy birthday to the author.
Aisee kumbe mi adui yako?, ila toka lini?Happy birthday kitengeluu adui yangu Intelligent businessman unakera sana ila umekula nini tofauti na keki??
Haaaa mzee mwenzangu kweli tumezeeka sasa😅😅😅Mbona unataka kuwaharibia soko watoto wa elfu 2 wakati ndiyo hot cake Siku hizi 🤗
Wa 2005 saivi ana miaka 20 Mzee mwenzangu
Honestly, miaka inakimbia sana
Ndiyo maana mvi Kichwani pamoja na kuzipiga super black zimegoma kabisa 🙌
KUna kipindi unanikeraa kuna kipindi huniboiAisee kumbe mi adui yako?, ila toka lini?
Watu wanadai wamezeeka kumbe ni watoto wa 90sHaaaa mee mwenzangu kweli tumezeeka sasa😅😅😅
Kwani nime sema naoa😀🤣Wewe bado ni child, utafute wifi ukifika third floor umesikia mtoto mzuri sasa hivi atakuchanganya bure