ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,222
- Thread starter
- #141
Kiruuuuuuuuuuuuuuuu naachaje kujua sasa jamani 🤣umejjjuuuajjee mi wa kwa mashirima lau yesuuuuuuuu
Kiruuuuuuuuuuuuuuuu naachaje kujua sasa jamani 🤣umejjjuuuajjee mi wa kwa mashirima lau yesuuuuuuuu
Loh kumbeUsimwani yule kijana
Ni mzee wa drama dear
Drama tu dear 😅Loh kumbe
Mi naona yupo serious
Hadi nkamwonea huruma
Thank you 😊 🙏Happy Birthday 🥳 🎉 🎉 🥳 🎉 🥳 🎉 🥳 🎉
Sasa unataka kulilia nini wakati tulizo niko hapaau nikuokotee mawe?,, sikuamini tena mwanetu😭
niko oves niache mdogo wangu naweza kukupasua sasa hivi😏🤣Sasa unataka kulilia nini wakati tulizo niko hapa
Happy Birthday Ukhty ShesRise_1Heri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka
Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA
Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!
Nasafisha moyo wangu na kuanza upya
Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini
Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨
Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
Bibie ShesRise_1 umemfanyaje uyu mbona kawa kama dumbia wa simbaniko oves niache mdogo wangu naweza kukupasua sasa hivi😏🤣
shes hana kifanyio kwahiyo hawezi kunifanya au zeaBibie ShesRise_1 umemfanyaje uyu mbona kawa kama dumbia wa simba
Shukran sana kaka angu 🙏Happy Ukhty ShesRise_1
Hongera kwa kuongeza na kupunguza mwaka. Allah azidi kukujalia afya njema,uzima, hekima na akutimizie haja ya moyo wako.🎂🍾🍾
😅😅😅niko oves niache mdogo wangu naweza kukupasua sasa hivi😏🤣
Amesema yupo oves 😢Bibie ShesRise_1 umemfanyaje uyu mbona kawa kama dumbia wa simba
Happy birthday Cutie.Heri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka
Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA
Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!
Nasafisha moyo wangu na kuanza upya
Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini
Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨
Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
kwahiyo watoto wa uswahilini hatutakiwi humu?,, nimehuzunika walah😪😪 ngoja nitoke nikakae hapo nje mpka mmalize😅😅😅
Party 🥳 ya wastaarabu hii hebu acheni mambo yenu ya kiswazi 🤣
Asante, next month ni mwaka wangu mpya. Utakula sato au sangara. 😀Shukran sana kaka angu 🙏
Karibu tukate keki 😊
Watoto wa Uswahilini mnaleta vurugu Super Dome , kweli 🤣kwahiyo watoto wa uswahilini hatutakiwi humu?,, nimehuzunika walah😪😪 ngoja nitoke nikakae hapo nje mpka mmalize
Shukran mkuu 🙏🙏
MburaaaaaaaaKiruuuuuuuuuuuuuuuu naachaje kujua sasa jamani 🤣