ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,226
- Thread starter
- #181
Asante mkuu 🙏🙏Happy birthday. Hongera kwa kuongeza mwaka karibu uzeeni
Asante mkuu 🙏🙏Happy birthday. Hongera kwa kuongeza mwaka karibu uzeeni
Maisha marefu kwakoHeri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka
Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA
Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!
Nasafisha moyo wangu na kuanza upya
Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini
Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨
Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
Eeeh mamangu 😆Hivi wewe 😅
Shukran sana 🙏Maisha marefu kwako
akuuuu mwenzangu hiyo high table natafuta nini wakati nimetupia mdera wenye mpasuo mpka kunako😜, najisimamia zangu hapa karibu na mlangoni mpka mda wa chakula nijibebee vipaja nikafanye mboga💃😉Kama umevaa dera kaa back bench lakini kama umevaa outfit 👌 sogea high table na vurugu uache, humu hakuna Chapati na maharage usitie aibu tu
Hii ni sinema zetu hakika ni zakwetu, wewe unampendaje mtu ambaye ujawahi kumuonaAisee inauma vibaya sana wewe kulezea hisia halisi halafu uambiwe unaleta drama😢. Aisee
Piga mbege 😆Eeeh mamangu 😆
Yaani aibu sana hii serikali na watumishi wao. Profesa Musa Assad alishasema asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana sifa za kufanya kazi serikali.Bora kusiwe na wakili. Ata haribu kesi
nakazia kwa herufi kubwa kabisa😜🤣🤣Bora kusiwe na wakili. Ata haribu kesi
Nipo kwenye daladala gari yangu imepata pancha 😂😆Piga mbege 😆
Kwahiyo una pochi la kubeba vyuku na mazaga mengine? 😂😂😂akuuuu mwenzangu hiyo high table natafuta nini wakati nimetupia mdera wenye mpasuo mpka kunako😜, najisimamia zangu hapa karibu na mlangoni mpka mda wa chakula nijibebee vipaja nikafanye mboga💃😉
naachaje kubeba, tena ninao huo mpochi mkuubwa mkikaa vibaya mpka glass nabeba🤣🤣Kwahiyo una pochi la kubeba vyuku na mazaga mengine? 😂😂😂
Hata wewe una misemo, khaaaa 🤣🤣🤣Punguza kutesa vijana wa watu😄
Hata ingekuwa wewe lazima ulie
Unaenda wapi utakoswa minofu shauri yakook kwaherini 😏
Kuna camera mpaka latrines usije ukaishia central police kuna mbu wanene kuliko wale wa uswahilini kwenu 🤣naachaje kubeba, tena ninao huo mpochi mkuubwa mkikaa vibaya mpka glass nabeba🤣🤣
nakaa hapo mlangoni karibu na buffeeUnaenda wapi utakoswa minofu shauri yako
nilivyo na dam chachu mbona hao mbu watakiona cha moto😄😄Kuna camera mpaka latrines usije ukaishia central police kuna mbu wanene kuliko wale wa uswahilini kwenu 🤣
Na serikali inakumbatia watu wa kariba hiyo ili waweze kuwa under control. Kuna kesi nadhani mawakili wa TLS wamefungua kupinga mawakili wasio na vigezo kuwepo kwenye mfumo. Ushahidi upo nje nje kabisaYaani aibu sana hii serikali na watumishi wao. Profesa Musa Assad alishasema asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana sifa za kufanya kazi serikali.
Aliyekuwa Waziri wa Utumishi Simbachawene alisema asilimia 40 ya watumishi wa umma ni mizigo ndio kama huyu Wakili 😅😅😅