Hakika hakikaunavyofikili ndo unavyokuwa ukiamua kukubatia historia ya maumivu utajisahau unaaza kujidharau, kujilinganisha na wengine ili ujipe faraja kwamba kumbe mm bora huko ni kujilisha upepo.
Akili haifuti kumbukumbu ila tunadhibiti kumbukumbu za jana zisiwe kikwako leo coz LEO NI BORA KULIKO JANA.
jana imeshapita sina umiliki nayo ila leo naumiliki nayo nitaifanya kuwa bora zaid ya jana
Shukran 🙏