ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,226
- Thread starter
- #101
Shukran nitakua hapo 🔥Migombani.
Shukran nitakua hapo 🔥Migombani.
Shukran sana mkuu🙏
Hapana jimbo halipo wazi
Aisee... 😔 Ila mtaachana tu😂OMG, thank you, my only one❤️
Thank you so much, my darling
You are the best one in my life🥹❤️
Ahadi ni ile ile kumpata TO baby 😘❤️
Love u 💋
Shukran brother 😊H bday, mrembo nipe NAMBA Yako nitoe chochote kitu dear kama zawadi, feel awesome
🤗Aisee... 😔 Ila mtaachana tu😂
Aisee kumbe hahaha ewe binti kiziwi unasemaje kuhusu hili swala😎Hii mpaka binti kiziwi nae kaiskia. Anyway, happy birthday to you cherise, 🥂 cheers!
Good for you guys, I tried my luck sasa si ungeliniambia wazi wazi tu nikacha kutupa ndoano😉
Kumbe ni mwanamke?Happy birthday mrembo wa nguvu
USSR
Ulihisi mimi ni mwanaume mkuu?Kumbe ni mwanamke?
Sasa unaelewa hilo ndiyo la muhimuGood for you guys, I tried my luck sasa si ungeliniambia wazi wazi tu nikacha kutupa ndoano😉
It's just that simple, no games, no lies.Sasa unaelewa hilo ndiyo la muhimu
Asante sana 😊HBD young girl, sikupangii, lakini hakikisha unapata muda hata masaa matatu ya kutafakari na kupata majibu na wenda muelekeo mpya maisha yako.
Hakikisha unapata wazo lolote jipya chanya kuhusu maisha yako. Linaweza kuwa ni kuhusu kazi, biashara au mipango, au vyovyote vile. 😊
Hakikisha siku ya leo, sio tuu unafurahi lakini unaboresha mikakati ya maisha kifikra, kiakili na kimwili.
Nakutakia kila la kheri binti.
Happiest birthday to youHeri ya mwaka mpya kwangu. ❤️
Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗
Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga
Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka
Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA
Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!
Nasafisha moyo wangu na kuanza upya
Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini
Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨
Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
Thank you 😊Happiest birthday to you
How old are you babesisy?Thank you 😊
Just a few more years and I’ll be turning 30, dear 😊How old are you babesisy?
May Lord grant you many years ahead.
Wallah huwezi amini nipo ndani tena kwa bed mamaa 🤣🤣 🥹🥹hivi hauoni saivi ni mda gani?, alf umekaa kimya tu kama haujui ulinipanga nini, nakuangalia tu ili badae unilaumu msichana mdogo