win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,481
- 32,429
tuna wachangamsha nyie watoto wa kishua😅😅Watoto wa Uswahilini mnaleta vurugu Super Dome , kweli 🤣
tuna wachangamsha nyie watoto wa kishua😅😅Watoto wa Uswahilini mnaleta vurugu Super Dome , kweli 🤣
Wow nipo nasubiri sato na sangara kwa wivu mkubwa sana 😊Asante, next month ni mwaka wangu mpya. Utakula sato au sangara. 😀
Hivi wewe 😅Mburaaaaaaaa
Hahaha mie ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI 😄tuna wachangamsha nyie watoto wa kishua😅😅
Aisee inauma vibaya sana wewe kulezea hisia halisi halafu uambiwe unaleta drama😢. AiseeLoh kumbe
Mi naona yupo serious
Hadi nkamwonea huruma
oya kumbe wew ndo mshua mwenyew, nimefurahi kukufahamHahaha mi ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI 😄
😁😁 mkuu huyo wakili wa serikali yetu hachomoki apo na Winnie atajitetea mwenyeweHahaha mie ni Mshua sio mtoto wa kishua lakini, tunataka ustaarabu kwenye hii party , lasivyo nitamuamuru Wakili Ajuaye awape kesi ya UGAIDI 😄
🤣🤣🤣oya kumbe wew ndo mshua mwenyew, nimefurahi kukufaham
aaah huyo ajue chenga tu
eh na wew umeona eeeh😅😅😁😁 mkuu huyo wakili wa serikali yetu hachomoki apo na Winnie atajitetea mwenyewe
nimeelewa mshua, nioneshe kiti changu kipo wapi basi nikachill😊😎🤣🤣🤣
Tutakuletea Mkuu wao, kaa kwa kutulia basi kwenye party
Huyo wa ukerewe anadili na samaki wa kubwa hawa tuwaitie yule kamanda motoAu unasemaje ShesRise_1 hawa wanaoleta fujo wakina win-one tuwaitie ZCO Mwaf***e awape kesi ya Ugaidi ? 🤣
Kama umevaa dera kaa back bench lakini kama umevaa outfit 👌 sogea high table na vurugu uache, humu hakuna Chapati na maharage usitie aibu tunimeelewa mshua, nioneshe kiti changu kipo wapi basi nikachill😊😎
Bora kusiwe na wakili. Ata haribu kesieh na wew umeona eeeh😅😅