ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,638
- 41,973
- Thread starter
- #21
Thank you bebe 😊Live longer babe
Happy Birthday To You ❤️
Thank you bebe 😊Live longer babe
Happy Birthday To You ❤️
Shukran 🙏🎆🎇🎆🎇❣️
Asante sana 🙏🙏Heri kwako.
OMG, thank you, my only one❤️Kheri ya siku ya kuzaliwa my treasured one.
Nakushukuru kwa uwepo wako wenye staha na ukomavu unaonivutia kila siku. Your character and grace set you apart completely. Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akujalie mafanikio na utulivu katika kila hatua ya maisha yako. Happy birthday to you my Solace.
Je t'aime, mrembo wangu. 😊
Tegemea kila kilicho bora kutoka kwangu, mambo yote yatakuwa kama tulivyopanga. Enjoy your beautiful night, mon amour! 🥂OMG, thank you, my only one❤️
Thank you so much, my darling
You are the best one in my life🥹❤️
Ahadi ni ile ile kumpata TO baby 😘❤️
Love u 💋
Sogea mitaa hii mkuu😊kata keki tule
Shukran sana 🤗😅😅Pole sana kwa kupunguza mwaka mwingine kwenye miaka ya uhai wako hapa Duniani.
Asante sana🙏Happy birthday mrembo wa nguvu
USSR
umeakaje birthday girlSogea mitaa hii mkuu😊
Asante mama 🙏Hongera mwaya.!
Nimeamka salama kabisa 😊umeakaje birthday girl
ephen_ hebu njoo unambie umecheka nini kwenye hii comment😅😅OMG, thank you, my only one❤️
Thank you so much, my darling
You are the best one in my life🥹❤️
Ahadi ni ile ile kumpata TO baby 😘❤️
Love u 💋
Asante maa😘aaah jamni mnapenda wenyewe na pacha wako mpka raha😻😻