Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

Happy birthday to me ShesRise_1 ♥️

Heri ya mwaka mpya kwangu. ❤️

Huu ni mwaka mwingine kwenye maisha yangu 🤗

Katika mwaka huu mpya, nazika ya kale yasiyo na manufaa
Nikibeba tu mafunzo yaliyonijenga

Sitaki tena kubeba maumivu ya yaliyopita wala kujilaumu kwa mambo ambayo tayari yamepita
Nataka kuishi sasa, kuchukua hatua sasa na kujijengea maisha ninayoyataka

Naingia kwenye mwaka huu nikitambua kuwa THAMANI yangu ni KUBWA NDIYO KUBWA

Sitapoteza nguvu zangu kwa mambo yanayojaribu kuninyong’onyeza au kunifanya nijione mdogo
Nitajikita kwenye ukuaji wangu, amani yangu na watu wanaonithamini !!

Nasafisha moyo wangu na kuanza upya

Mwaka huu nachagua mimi
Nachagua amani yangu
Nachagua ukuaji wangu
Nachagua watu wanaonithamini

Nainuka
Ninakua
Ninashinda
Ninakuwa kila kitu ninachotamani kuwa 👑✨

Happy birthday ShesRise_1 🎂♍️❤️✨ 28.8.199!
Happy birthday to myself ♥️
Hongera Sana,miaka mingapi:ShesRise?
 
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa,ila nakukumbusha tu huwezi kujingenga na historia yako, huwezi kufuta kumbukumbu za jana kwenye ufahamu wako,akili na ufahamu haifuti kumbukumbu kirahisi.

Hongera tena...jana ni bora kuliko, na leo ni bora kuliko kesho.
 
Kufuta kumbukumbu haina maana nafuta kama vile navyofuta rangi ya chokaa ubaoni

Maana yake sitajishughulisha na kumbukumbu za kale hasa zisizo na tija
Sitaki kuishi jana
Naishi leo

Shukran sana brother 🙏🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom