Mpendwa afrodenzi,kindly do me a favour (najua iko ndani ya uwezo wako kiteknolojia),naomba umpe ze fainest maua tafadhali kwa niaba ya wana jf wote,pliz love!
HYGEIA em rudi juu kidogo ya hii page halafu niambia kama umeridhika hahahah lol..Asante Bishanga kwa kuingia kwenye ubongo wangu na kusoma yaliyoko. Hallo dada AD, hebu fanya ule utaalam wako umtupie The Finest li-bouquet limoja la waridi na uweke maandishi ya Happy 'Birthday The Finest'. All on our behalf plse AD
Gaijinhuna jambo hata moja mmhhh..
mi mzima tu bana... Vipi bado unaingia mitaa ile??
sante kwa ile kitu nilifuatilia na ninayo sasa hivi..
teh teh watanikoma trip hiii.. nnavyosumbua mpaka naulizwa we huna kazi??
Dah...Speechless I'm humbled thank you love afrodenzi hope tutakutana kule kijiweni kuna mambo mengi ya kuongea
sekunde, dakika, masa, siku, wiki, miezi na miaka
yote yanapita kwa kasi ya ajabu isiyoshikika.
The finest napenda kuchukua muda huu kuku
takia kila lakheri kwa miaka mingi ijayo na ningeomba
usibadilike uwe kama ulivyo sasa , rafiki wa kweli,
muelewa, msomi, una busara sana kwa umri ulio nao.
kwa kweli nakutakia kila jema maishani.
uzidi kuwa kama ulivyo
wengi wanatafuta hekima uliyonayo
wageni unawakaribisha, wenyeji unawang'arisha..
my dear , HAPPY BIRTHDAY......
LOVE YOU LOTS.
Hahaha..not to worry at all darling afrodenzi
GaijinHahahaha, yaani burudani tosha, mpaka wanakwambia wenyewe, basi tena, tushatubu, tuhurumie!
Na hata wakiulizia siwaambii ulipo ng,o , washanipotezea kisweetheart changu Husninyo wasje wakanipotezea na wewe.Nimekuja rasmi kusherehekea hii birthday The Finest, baada ya sherehe kuisha narudi nilikokuwa!..
swahiba TF, klorokwini anajua mahali nnapopatikana kwa sasa hivyo biashara ikiyumba usisite kumwambia akulete niongeze mtaji.
Gaijin
hahahahaaahahhaah nakwambia mmhh nimesambaza kwa wengi si utani..
dahhh nadhani sasa hivi kuna wengine wakiona ni mimi tu hawapokei makusudi....
nimezidi usumbufu hata bi mkubwa kanichoka sasa... rahaa lakini.. to be honest, I'm blaming you for all this...:glasses-nerdy: