Happy Birthday Shunie......!!!!

Happy Birthday Shunie......!!!!

Weeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayari
Yule anko sio kabisaa! Akiishiwa ndo huwa anakuja kwako!!

Msimu huu wa siku kuu sijamtia machoni wala masikionii...

Ako wangu wa ukweli ni kaka Eli79 tuu
 
Back
Top Bottom