Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978



asante sana jamani
Pole sana jamani mdogo wangu mzuri mzuri jamani
Weka top ten yako na mimi nitaweka top ten yangu. Tunaendelea kumuaibisha shetanihaki vile hauwezi amini halafu,, wewe inaonekana hiyo ni starehe yako ya kwanza kwenye list yako ila mie nikipanga list yangu hiyo hata kwenye top ten haipo..
Sent using Jamii Forums mobile app


Huyu alinitelekeza, sikuku ilivyoisha ndio akarudi. Yule anko wako sasa ndio wa ukweli, shida zangu za kiroho,kimwili na kiuchumi alikuwa anamaliza zooote. Huyu mpare maneno tuuuuYule anko sio kabisaa! Akiishiwa ndo huwa anakuja kwako!!
Msimu huu wa siku kuu sijamtia machoni wala masikionii...
Ako wangu wa ukweli ni kaka Eli79 tuu



Kaka wa damu, hata akikaa vibaya naangalia pembeni hahaha!!Asante mnoo jamani kwahiyo umekuwa kaka kabisa





umenifanya hadi nicheke kwa nguvu muone vile
Kho kho kho kho kho kho kho kho kho kho kho
Huo mhamala usio na address unafikaje we besidei gelo?Ebu kwanza tuma muhamala wa zawadi we mzee jamani
Wapo, wamekuwa wahunii siku hizi. Eti nao wanakaa vijiweni ukipita wanakukonyeza
Wamasai humu wapo wachache sana jamani!! Hivi hao raia wapoo?!







Qatar na treni dada?? Naona ushatuchoka!!
Mnaenda na treni au ndege![]()
Nasubiri address hivyo...Kwa sakayo jamani ndio nipo nae kwake tuma zawadi kwanza
Wamang'ati watatufaa zaidi.Ndo wale wale!
Mimi nawajua wengi, ila nazidi kuwa mvumilivu tu. Tatizo ni ile kitu napata kutoka kwako.Kwani unafikiri tunamzungumzia nani?