ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,499
- 119,305
Nina aibu sana ujuwe
Kaka jamani

Nina aibu sana ujuwe
Kaka jamani




si tunakuchukua na wewe jamani
Yaani
Niogoha imi, nachekacheka tuu jamani!! Yeye anapanga world cup na Karma
Umesahau niko wapi?Mkwe leo mbona kama umeamka na upako wa kizaramo...
Yule lazima atakuwa wa huko tu.
Ni wa TA?!
Hahhahaha
Tanga hapana, wanashinda na msuli tuu jamani kaka!! Watanitoa kizazi mimi
Napenda ndio, niambie wewe hupendi tumuaibishe shetani.




we mzee chizi sanaNamshukuru Mungu kwa kweli, tarehe kama ya leo miaka arobaini iliyopita, alizaliwa kipenzi, rafiki, dada, mdogo wangu mzuri mzuri jamani
Happy birthday My lovely friend Shunie!!!
Lete digits tutume na ya kuanzia mwaka kabisa.Ebu tumeni mihamala jamani
Hahahha auntie msiniambie mnataka nikeshe kwenye hii thread mbona nitakoma mimiNani iko ficha wewe?
Nipo tu hapa nasoma huku moyo ukiniuma sana.Weeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayari![]()