Nani iko ficha wewe?Auntie bwanah
Kaka ake sakayo, hilo ndio jina rasmi "kwa sasa"!! Hongera kwa kukuwa mkubwa.Asante mnooEli sijui x shem sijui Kaka akee sakayo yaani siwaelewi mie
Tanga.Wapi sasa jamani
Hahahaha, karibu Same!!
Tanga hapana, wanashinda na msuli tuu jamani kaka!! Watanitoa kizazi mimi
Hahhhha jamanikwani wewe amekufanikishia mambo yako yote? Mengine anakuacha upambane kivyako.
Utajuta kunitelekeza.Nilijua tu! Kisa tu hunipendi, unaendelea kunisingizia..
Vipi mkuu eti unataka kumuwowa auAmeolewa?
Ngoja atakuja kukuelewesha. Au Sakayo atakuelewesha
Asante Ba mkwe wangu mimi
Hivi Eli unapenda chini enh??![]()
samahani kwa hilo swali maana daah!!
Sent using Jamii Forums mobile app











Mungu atakunyooshea yoote maana hakuna kinamshinda.Auntie nimecheka sana