


basi tufanye napenda
Shunie mbona unanizeesha mapema? Eti Karma hapendi, si uongo huu..
Mweeh nani huyo etiWeeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayari![]()
Kingozi eti
Hahahha wapi eti nataka gari mimi mechoka kutembea na leseniUnakwama pale juu
Khaaah!! Umeanza kunisingiziaMimi nawajua wengi, ila nazidi kuwa mvumilivu tu. Tatizo ni ile kitu napata kutoka kwako.



@Jael wangu!!Unamuibia nani eti jamani kaka!
Aintie usijifanye huna macho.Mweeh nani huyo eti
Hapa nilipasubiri sana, ngoja niendelee kusoma
Habari za wewe eti jamani![]()

