Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,385
Weeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayariIla kiukweli anakupenda sana!!
Sijaona mwanaume anakubebisha bila aibu mbele za watu!!

Weeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayariIla kiukweli anakupenda sana!!
Sijaona mwanaume anakubebisha bila aibu mbele za watu!!

Acha fujo mkwe...Kumbe upo!! Habari za wolidi kapu?
Mpaka raha jamani msalimie na mama yakeBaby hajambo sana, na yeye kaiona xmass, lol
Sijaenda mimi🤣🤣🤣Shemeji!!
Hukwenda kushika namba
Eeeenh wakina nani haoNyie vitombiii, wale wenzenu majanga
Bora abakie TA.
Hahaha, dah! Hutupendi kweli yani.Haahahaha
Nasikia kuko na homa ya ini jamani
Niogoha watu wa Tanga imi
Mkwe leo mbona kama umeamka na upako wa kizaramo...
We mfurugano uloleta unafikiri mdogo? Binti yangu anacheka cheka tu najua kavuta bangi kumbe kazi imekushinda![]()
Walikufanya nini? Au ndio wale wale?Niogoha watu wa Tanga imi