Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wooow
Happy birthday twin



Wooow



Ameolewa na watoto wanne mkuu!


Tena mwambie watoto wakubwa wakuoa na kuolewa


woii,, ila vile ni wewe ndiyo umesema basi sina budi kuamini..
Unauliza makofi polisi? Mpare huyo. Wazee wa kupambana chini kwa chini.
![]()
Hivi ni mimi humu jf ndio sina gariLakini ukitumia kluger yako ile nyeusi
Sihauchukui hata masaa 3 kufika.
mpaka ndugu yangu ana kluger hivi mimi nakwama wapiii
Eti uko na kluger ile ya picha ya kuchora ya TAcha kunisingizia mimi jamani! Natoa wapi huo mnyama mimi! Na kitalu ushaninyima?!
Hivi lile letu limepona?!






Hahahahaha
Kumbe bado upoo mdogo wangu mzuri mzuri jamani! Nikajua ushaondoka
Kwani ni mchaga?Shemeji!!
Hukwenda kushika namba