ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,475
- 119,181
Asante mdogo wangu!!Namsikiliza mimi jamani!!
Mtu anakulove mbele za watu namna hii
Asante mdogo wangu!!Namsikiliza mimi jamani!!
Mtu anakulove mbele za watu namna hii
Weeeeh!! Wapare ndio utaugua magonjwa hayapo duniani.
Nitafutie mpare hebu






Huyu ni mali ya umma hata sio wangu.Huyo ndo wako mama!!
Hahhaha mjeda ukuje hukuMuulize mjeda
Napenda ndio, niambie wewe hupendi tumuaibishe shetani.Hivi Eli unapenda chini enh??![]()
samahani kwa hilo swali maana daah!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah jamani unajikana au me ndio sielewiMjeda nani eti
Unauguaje magonjwa ya hivyo halafu mtu yuko busy na wolidi kapu
Mimi ni nani mpaka nipingee jamani dear!!
Kaugonjwa nakaona kabisaa jamani mimi



Mbona anajikana kwako jamaniWewe apoo
Nilijua tu! Kisa tu hunipendi, unaendelea kunisingizia..Unauliza makofi polisi? Mpare huyo. Wazee wa kupambana chini kwa chini.
![]()
NdioJamani jamani! Sisi nini..???