Happy Birthday PRETA

nilikwenda kiboriloni kutafuta kitochi unajua sherehe kama hii haitaki kukosekana...nimekuja ninahema nisikute umemaliza kidari cha naniino hebu mwambie aje fasta na ya baridi nikate kiu
Hahaha... Nakuona hapo unavyokazana kufuta majasho kila dk, angalia mapowder yasijeisha wakati bado hatujapiga picha ya kuuzia sura na new baby gal, sasa umekuja unakimbia hivyo ulidhani tutakusahau au?..hicho kigaloni umetubebea na sisi kitochi..lol? Waletewa ukate kiu sasahivi.
 
PJ mambo yake siku hizi....si mwenzio ujue.....
nimeweka chozi za kutosha.......unapendelea za baridi au za moto......?

ametuma msg gari imepata pancha unajua tena hizi simu kwa mawenge ndio zenyewe
ya kwenye kopo tafadhali nikishaanza kuongea inglishi iwe rahisi kuweka kwenye pochi
 
Hahaha... Nakuona hapo unavyokazana kufuta majasho kila dk, angalia mapowder yasijeisha wakati bado hatujapiga picha ya kuuzia sura na new baby gal, sasa umekuja unakimbia hivyo ulidhani tutakusahau au?..hicho kigaloni umetubebea na sisi kitochi..lol? Waletewa ukate kiu sasahivi.

acha tu yaliyonikuta nipo kwenye costa na dumu langu la mbege ikachemka acha ichafue watu kifuniko hata sijui kilipodondokea nimekuja moja kwa moja....hata sijui picha itakuwaje itabidi nijiweke pembeni nisiharibu photo za baby P ....nilijua kusahaulika muhimu funguo za store ya biya kapewa TF sasa ningekuta kitu kweli hapa yenyewe sijaambua kitu mpaka dk hii....
 
Hahaha! Afu umemwona TF alivyolewa??? Kweli ungechelewa usingeambulia kitu dear,

yaan wewe umenichekesha sana na hilo dumu lako la mbege lol.
 
Better late than never.
HAPPY BIRTHDAY PRETA.
Tonite i will bring you Paco, Alfonso, Mamushka and Ray. Hp you will enjoy to be with them
 
Hahaha! Afu umemwona TF alivyolewa??? Kweli ungechelewa usingeambulia kitu dear,

yaan wewe umenichekesha sana na hilo dumu lako la mbege lol.

SL kuwa serious bana hebu mtume muhudumu alete angalau hako ka st anna unajua za sherehe tamu kuliko ya kununua...hahahaha TF nouma sijui kama anakumbuka yupo kwenye BD hata picha amesahau kupiga daaah
 
Dear Preta
It's your birthday and we can't be there
But we send you a special birthday wish and a little prayer
"We wish that all of your birthday wishes come true,
May you have a great time today and find happiness in everything you do".

View attachment 46247

Kumbe ndiyo umezaliwa mama basi hongera sana. Keki imenitoa mate kidogo hakuna kipande kilichobaki nije nionje maana mimi nimechelewa kidogo kuingia.

ulikuwa wapi !!!! muda wote mnatengeneza pancha we na PJ keki imekwisha mjiandae kuja kufanya usafi ukumbini na kuokata vyupa vyote
 
umpendi mpwa miaka mia aishi kwa dunia gani ya kikwettee jamani
loh mi nakupa 50 na hiyo yako 50 inatosha bana
 
ulikuwa wapi !!!! muda wote mnatengeneza pancha we na PJ keki imekwisha mjiandae kuja kufanya usafi ukumbini na kuokata vyupa vyote

Naona umeamua kumuadhibu PJ vyakutosha kwa kuchelewa kuja kwake lakini kitu kingine nilichokipenda ni hao majogoo koko ambao huwezi kuajua mpaka waanze kuwika tehe tehe tehe tehe.

ulikuwa wapi !!!! muda wote mnatengeneza pancha we na PJ keki imekwisha mjiandae kuja kufanya usafi ukumbini na kuokata vyupa vyote

angalieni msigawe sevieti zetu kwa matajir maana nikwenda Moshi nikamkuta jamaa mmoja kaanda sherehe akaja Tajiri mmoja namhifadhi akaomba jamaa anaesimamia sherehe..jamani ni kweli na uwazi akaomba maji yatakayonawiwa atawapa laki moja
na akaomba sevieti wanazopangusa baada ya kula nazo akatoa laki moja nikashangaa kuna pipa limewekwa kuna mtu akaanza kukusanya seviieti mwaya nikamwambia Mungu na isiwe yanguu in jesus name..so muwe makini mkiona wanaojifanya kukusanya maji na sevieti shetan hao
 
hahahahah wakati wa kufanya usafi kuwa makini ukiona bapa chini hakikisha unaleta sihemu husika angalia preta na sweetlady wasijui ikizingatia TF atakuwa hajiwezi.....achana na jogoo watajulikana alafajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom