Happy Birthday PRETA

Apawomy kumbe mtutu kuro
kichaataramooo mleu
nachooooo cha yesu anganyi
ruwa nakuringe nakuongelei ufollo
nakuongelei kila kindu nukundi kasoro msoro mbicho
 
"Uendelee kuwa mrembo kama ulivyo sasa"
"Uendelee kuwa karibu na Mungu zaidi ya ulivyo sasa"
"Uendelee kufanikiwa zaidi ya sasa"

"Mwisho uzae watoto wengi ili usaidie kuijaza Dunia"

Happy Birthday Pretty Preta!
 
Mwenye mamlaka yote ya Dunia na ndiye aliyekufikisha hapo, na akujalie kufika mbele zaidi...
Ujaaliwe furah, amani na baraka tele!
Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
 
Asanteni wote mlionitakia heri katika siku yangu hii maalum.......
nafurahi kwamba nimekuta ukumbi umeshapambwa (huyu ni sweetlady na King') na wageni wote wapo ukumbini....
tafrija inaendelea na karibuni sana.....
leo kuna mpaka machozi ya simba kwa wale wanaootumia......
 
Tumejitahidi sana Preta, ujue kuna mda kidogo tususe kupamba manake tulimtuma kabakabana mapambo afu akachelewa kutuletea! Nafurahi vile umependa tulivyopamba!

Mwambie TF ahakikishe hatoki hapo mlangoni manake wazamiaji ni wengi, wasijetuletea hasara za chupa!

Sie twaenda vaa then tutarudi kuparty mpaka asubuhi.
 
usijali....ulinzi wote mpaka shirikishi.....umeimarishwa.....
vaa ile pedo ya siku ile....halafu ukija....hapo hapo mlangoni mwambie TF akupe St Anna yako.....
 
Lol, kumbe siku ile nilipendeza eeh, nilikuwa na mpango wa kuvaa gauni sasa naghairi... Sante kwa st Anna!

TF popote ulipo kuja usome hii post.
 
Asanteni wote mlionitakia heri katika siku yangu hii maalum.......
nafurahi kwamba nimekuta ukumbi umeshapambwa (huyu ni sweetlady na King') na wageni wote wapo ukumbini....
tafrija inaendelea na karibuni sana.....
leo kuna mpaka machozi ya simba kwa wale wanaootumia......

hebu weka chupa 2 za machozi naja sasa naamini PJ hajaona hii
 
heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa Preta
M/Mungu akujali afya tele na miaka mingi
Afu wewe ulijificha wapi? Tulikutafuta sana ukatununulie vinywaji...ila tunashukuru PJ alifanikisha, mbona umekaa hapo huna kinywaji? Mwite huyo mhudumu hapo kushoto kwako umwagize upendacho...
 
nilikwenda kiboriloni kutafuta kitochi unajua sherehe kama hii haitaki kukosekana...nimekuja ninahema nisikute umemaliza kidari cha naniino hebu mwambie aje fasta na ya baridi nikate kiu
 
Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom