Happy Birthday President Jakaya Kikwete

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.

Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.

Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.
Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
 
Happy birthday my president. You are as visionary as the late Steve Jobs much as Magwanda do not appreciate your brilliance.
 
Leo tarehe 7/10/2011 ni besidei ya mkuu wa kaya!
Sijahatika kujua maandalizi ya sherehe lakini naamini ipo kulingana na historia ya mhusika!
 
Umetumwa na Riz1 umelipwa bei gani kupost hii thread?Unafikiri ni wangapi wapo tayari nchi hii hata kumwombea Huyu Kikwete?ama unaongezea Watanzania machungu?kwani hata keki atakayotumika ni Kodi yetu na huyu Kikwete wote tunajua alilazimisha kuwa Rais kwa msaada wa Usalama wa Taifa.
 
Clouds mwaka huu hawajajikomba?

8E9U2321.JPG
 
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.

Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.

Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.
Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.

looks like a personal matter.........................and of no consequential to our collective lot..................happy birth day kwa JK haipaswi kuja hapa hasa ukikumbuka alisema uraisi ni suala la kifamilia.............................je birth day itakuwaje..........................acheni kujikomba.......................labda tumbo lako sasa ndiye Mungu wako ndiyo utasujudia watu wa namna hii..............

"Whose end is destruction. Whose God is their belly. Whose glory is in their shame. Who set their minds on earthly things." James 4:4
 
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.

Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.

Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.
Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
Unalipwa na magamba mpaka uanzishe thread hii?nenda bac ikulu ucheke nae
 
Happy birthday my president. You are as visionary as the late Steve Jobs much as Magwanda do not appreciate your brilliance.
Kwa lipi unamlinganisha na Steve Jobs?Rais asiyefahamu kwa nin Tanzania ni maskini?si bure ndo wale wale...
 
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.

Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.

Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.
Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.

Wanafiki bwana.
 
Huna Rais mwingine ni yeye tu, na hao unaofikiri watakuwa hawawezi kuwa. So, far Rais ni mmoja tu wengine wote feki

Kweli Masaburi mpo wengi.MWAMBIE Kikwete tunaandamana kupinga malipo ya Dowans na tunaunganisha na kero zingine zote hapo.
 
Wakati leo tarehe 7 oktoba 2011 ukifikisha miaka 61 tangia kuzaliwa kwako. Na kwa kuwa wewe ni Kiongozi wa nchi yetu adhimu ya Tanzania. Nchi yenye amani, upendo na mshikamano kwa wananchi wake.

Tunakutakia fanaka na furaha tele kwenye siku yako ya kuzaliwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete . Wewe ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi zao mbali mbali.

Tunakutakia afya njema , hekima na busara katika kuiongoza nchi yetu. Ili Tanzania pawe mahali bora pa kuishi.
Happy birthday JK Mungu akubariki sana ! amen.
Sawa ni birthday yake. Umeweka hapa ili tufanyaje?
 
Mungu tunakushukuru baba wa Mbinguni kwani Dowans imekuwa ndio njia ya kudai Haki ndani ya nchi yetu.Asante Mungu kwani sasa tunakwenda kuwa Huru na msaada wako Mkuu.
 
Back
Top Bottom