Yalaaaah MJ1, shamba boy wake? babu ataua mtu, unafikiri amesahau kushika kisu? ukisikia tu anasema "yethu na maria" kinachofuata ni kitendo.
Mi naona babu hakuutumia vizuri ujana wake, sasa anatumia nafasi ya wewe kuwa mtiifu kwake kukuharibia, anakubania rizki yako!:lol:
hata kama umeacha kunicheka bado nalia.... Nina ombi (only if you don't mind) ili ninyamaze kabisa naomba mtakie babu happy belated birthday.... Pleeeease....:A S embarassed: