hata mm nimeona ndio maana nikasimama kidete. nimewapenda alafu wote naona wazuri na wapole kama mm.
Aksante mdogo wangu. ila hakikisha ukai kitandani kwa mgonjwa. kiti hicho hapo pembeni kalia. ukitaka kulala mwite bibi.kwa furaha kabisa nashikilia nipo hapa kazeni.
Karibu sana Golden Mpolee,hata mm nimeona ndio maana nikasimama kidete. nimewapenda alafu wote naona wazuri na wapole kama mm.
Haaaa haaaa, mjukuu.......
Kwahio zawadi ilikua imeka kianaume zaidi eeeh? na nyie kwa kujipendelea....lol... sisi hakuna cha kuambulia?
oooh this is awesome big sisy, hata mm nimependa hii level yake ya kujiamini aisee.
nami naona kbss upo pazuri dada angu, u made the right choice!!!!!!! hakunaga chaguo zurii kama ilii.
hata sie wana familia hata hatujutii kuwa na shemeji kama huyu aisee, he iz always there for us huh.
mh mbona kama signature yako inasema...
U Love ME I Love U - U hate ME I hate U.Simple.
Aksante mdogo wangu. ila hakikisha ukai kitandani kwa mgonjwa. kiti hicho hapo pembeni kalia. ukitaka kulala mwite bibi.
Nawe utakubali kulazimika? Mwite Canta mkae wote kama hutaki Bibi akufinye huto tupaja twako.haina shida. yy akinilazimsha tukae wote?
Mngeninunulia hata Fanta (alafu unajisemelea ulimpa viroba? MJ1 akikusikia!) lol
Sweetie lunch tayari.... Leo ni ugali, dagaa fresh ilotiwa nazi na viungo vingine voote vya jikoni na veggies za mchicha ulochanganywa na speenach ya karanga..... Sijasahau your favourite, mtindi... Anything more Love?
Mngeninunulia hata Fanta (alafu unajisemelea ulimpa viroba? MJ1 akikusikia!) lol
Nawe utakubali kulazimika? Mwite Canta mkae wote kama hutaki Bibi akufinye huto tupaja twako.
Auntie nishamsikia Mayanza kumbe yeye ndo aliidailute damu ya Babu, tumehangaika sana kutafuta mshipa wenye damu safi!
Aksaante Mwita naona wameamua kui-carry over hii birthday party.
NYIE MKUMBUKE ANATAKIWA KUENDELEA NA DRIP HUYO BABU MZALIWA.
Asikusikie mwenye kiti wa kamati.... Kabila lao aliruhusu sherehe ipite bila vinywaji vya asilia... yaani hii itakua matusi kabisa! lol... wewe tu ulizubaa hukuviona! lol