<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Rocky unatafutwa na Sweetie..... Umetega kazi mpka baaaas! How is PA?
 
Kid sis ulikua wap siku zoote hizi mpaka sherehe imeisha.... Tayari una case.... This family is there pamoja wakati wa shida na raha! Umeonana na shem wako karibuni?
big sisy vujamambo tu yan, nataka kuja apologize kwa hii familia kwa kweli kwa ili yan.
ila babu kanisamehe dada nawe nisamehe plzzz!!!!!!!!! nina zawadi zenu kibao espcialy you, babu n shem.
shemeji yangu sijamuona iv karibun big sisy!!!!!!!!! hope hajambo lkn???
 
loh.... kweli mjukuu kwa babu hakui aisee.
nataka nikae hapo kifuan milele babu, niwe kitukuu wa vitukuu lol.

Obsesd naona uko busy na babu.... ndio nimekukabidhisha rasmi..... Akikunyanyasa tu nifuate mimi ama Shemejio....
 
Karibu sana sana Mkuu
Tunakuombea sana na tuzidi kuombeana pia Mwenyezi Mungu atupe maisha marefu zaidi na zaidi na pia fya njema mkuu.
 
Am afraid wa kwako nitahitaji wiki mbili.....hebu njoo huku martenity ward....

Shem check mgogo wangu kaomba msamaha kukosa sherehe.... naona asamehewe au sio?

Usijali this family very understanding na Loving and Loving and Loving kwenda mbele! lol Shem wako mzima wa afya namshukuru mungu.
 
Obsesd naona uko busy na babu.... ndio nimekukabidhisha rasmi..... Akikunyanyasa tu nifuate mimi ama Shemejio....
lol..... haya big sisy!!!!!!!!
ila kwa ninavyomuona manyanyaso hayata kuwa na nafasi hapa.
nakutakia maisha marefu babu.
 
PA yuko salama dear
Yaani nakumiss mbaya aise
Tumepotezana sana sana ila naamini uu salama
Babu asije kutuchapa bure tunachakachua siredi yake

Shem yangu kapunguza ukali baada ya kuumwa... wala huchakachui... Ukizingaita I did miss you too.... PA did a Great job kwenye msiba I gues ndio anapumzika uchovu... He was so busy....
 
hahahaha.... Hizo sifa zikivuka tu mpaka unanyang'anywa mkoba aiseee! lol
Khaaaaa,
Sisy huoni utakuwa unaionea!!!!
Mambo umenifundisha mwenyewe nami nimekuwa na utayari wa kuelewa iweje nikikuzidi unipokonye??
Ila haina neno najua mwamuzi atakuwa shem ktk hili,
Akichagua mapishi yangu iatabidi unisamehe coz sio kosa langu mie atiii!
 
loh.... kweli mjukuu kwa babu hakui aisee.
nataka nikae hapo kifuan milele babu, niwe kitukuu wa vitukuu lol.
Orayt...close your eyes.... afu hebu nishikie mkongojo wangu kwanza ndo nianze kukukagua.
 
Shem yangu kapunguza ukali baada ya kuumwa... wala huchakachui... Ukizingaita I did miss you too.... PA did a Great job kwenye msiba I gues ndio anapumzika uchovu... He was so busy....

Yeah kwa kweli nilikubali kazi yake na alifanya kazi nzito sana
He deserve kupongezwa kwa kweli
Nitamtafuta nimwambie kuwa kuna watu wamamiss humu aje faster
 
Orayt...close your eyes.... afu hebu nishikie mkongojo wangu kwanza ndo nianze kukukagua.
lol.... babu nawe ukague nn ss??? owky ngoja nikuruhusu babu bt niruhusu nisifumbe ma cho babu!
 
Shem yangu kapunguza ukali baada ya kuumwa... wala huchakachui... Ukizingaita I did miss you too.... PA did a Great job kwenye msiba I gues ndio anapumzika uchovu... He was so busy....
Shem naomba ufafanuzi hapo kwa red.... kwamba bifoo marazi mi nlikuwaga mnoko eh?
 
lol..... haya big sisy!!!!!!!!
ila kwa ninavyomuona manyanyaso hayata kuwa na nafasi hapa.
nakutakia maisha marefu babu.

Nikupe siri ya manyanyaso? ana mtindo wa kupendelea wajukuu na wengine kuwaonea, Usikubali kubaki nyuma full kubanana! lol

exactly sisy sijaona waelewa kama familia hii aisee!!!!!!!!!!
i love this family wit all my heart.
watanielewa tu, kama babu kishanielewa tayarii.

This familly Loves you too....
 
Am afraid wa kwako nitahitaji wiki mbili.....hebu njoo huku martenity ward....
Haahahahaha,
Kuna operation nn babu?
Km ni wki mbili ongea na Bisy wangu km ataniruhusu coz ananitegemea sana kwa mwasuala ya kichen lol!
 
Mdogo wangu haya pia ni mafunzo nakupa.... Sio etu upate mume sababu tu Husny, Mwali, Smiles, Obsesd ni wadogo na binam zako baasi wawaachia huru mno na mumeo... Hata kama wawaamini vipi; unajenga hata vile ambavo havipo... nisipo kuwepo utanisaidia kwa shemejio... ila huo msaada una mpaka. sio sababu sikuamini....lol... it is nature I am afraid of.
 
Yeah kwa kweli nilikubali kazi yake na alifanya kazi nzito sana
He deserve kupongezwa kwa kweli
Nitamtafuta nimwambie kuwa kuna watu wamamiss humu aje faster

Do that R'.... Aje asap!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…