Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Happy belated Birthday kaka Nicas Mtei leo ndo kwanza nachungulia humu,mikazi ilinibana sana leo
njoo nikuogesheleo nipo nyumbani. Nanyonya
Heee bado sijamaliza dozi banaHata sikuwa nimenuna. Wasiwasi wenu tu. Basi chukua Valeur
amekua kweli.hujambo kakaHappy Birthday Nicas Mtei
Ukaishi maisha marefu yenye furaha na amani
Mungu akujalie kila la kheri katika maisha yako
Mema ya nchi ukayapate na amani ya rohoni pia
Happy birthday again my bro
mmh si unakumbuka mambo ya Sikaona na Zawadi (kama sijakosea).....hahahahah
Happy Birthday Nicas Mtei
Ukaishi maisha marefu yenye furaha na amani
Mungu akujalie kila la kheri katika maisha yako
Mema ya nchi ukayapate na amani ya rohoni pia
Happy birthday again my bro
Heri ya siku ya kuzaliwa kijana @Ncas Mtei.
Naomba mwongozo kabla sijalog off
thank u sana. Njoo na sweetlady pamoja na Lily Flower
Mwongozo:Leo shangwe zitakwepo jijini Kigali
Ntakuja na Lily Flower, sweetlady ni msumbufu simleti