Happy Birthday MWITA MARANYA

Happy Birthday MWITA MARANYA

We nae, hebu sogea huko usituharibie shughuli. Hiyo habari mtafute TANMO umwuzie.

Pacha halafu nna skendo zako zinajaa Gazeti zima hata nafasi ya matangazo haibaki.... Hivi ni kwa nini lakini?
 
eeh! Wanawake luba, kweli ndoa ni ajira. Hebu ngoja tuone sebene linaendaje. Babako keshakula mahari kanunulia tuxedo ya besdei. Una chako hapo bidada?

We mtoto wa mzee mtambuzi punguza maneno bana, mbona unachonga sana? halafu oma sasa unavyompotosha mwenzio, ushauri gani sasa huo unampa? mwambie aheshimu maamuzi ya wazee wake asije akajipatia laana kwa bei nafuu sana.
 
Mwita Maranya na wewe! Kila siku nakuambia usipige kelele husikii! Mie namuogopa binti yako ni mnoko sana! Ona sasa ushamwaga kuku wengi kwenye mtama kidogo!

Hawa watoto lazima inafika sehemu unatoa amri za kijeshi, ukijifanya kunong'oneza hawaogopi.
Kwahiyo hizi kelele zisikukatishe tamaa kwakuwa ni kwa ajili ya manufaa yako mwenyewe.
 
Mkuu hiyo speech ni kibwagizo tu, najua muziki ndio kwanza umeanza.
Nilidhani ni hotuba kama ya ccm baada ya kusomewa risala! Si unajua hotuba ya mgeni rasmi ikipita NO KWES-SHEN? Nilidhani ndio zako mkuu MWITA!
 
He hee! We mtoto wewe! Unajua mie sikuwepo hata huu uzi sijausoma nimeangukia hapa moja kwa moja kwenye tuhuma zako! Zion Daughter hebu subiri kwanza niusome uzi ndio tuongee vizuri. Leo ntahakikisha tunaongea kwa pamoja, hivyo mtafute huyo dady yako Mwita Maranya na huyo mwenzio gfsonwin tukae kikao.
Basi mama mdogo nimekubali matokeo....Naona baba mwenyewe kafa kaoza.....Afu mtu mwenyewe anapenda kudumisha mila...Lakn usijisahau iam watching you!!
 
Mwita Maranya, acha kuzaa zaa hovyo hadi unasahau wanao. gfsonwin nimemwita mchumba kwa heshima yako tu, ila ni kamshempereo kangu siku zile wanawake wangu wote wakiwa mbali nami
Mkuu Bujibuji itabidi nikutafute unitabirie tarehe yangu ya kuwa mbunge, kwani nimeshindwa kuunganisha dots umeifahamuje tarehe yangu ya kuzaliwa. Au wewe umewezeshwa ku-access privacy yangu!!?

Nakushukuru kwa kuniongezea binti mwingine gfsonwin, huyu sasa anakuwa mdogo wake na binti yangu kipenzi Zion Daughter ambaye nashangaa huna hata aibu kumtambulisha eti ni mpendwa wako wa moyo!!?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha,,, shem mbona unaniangalia kwa wasiwasi hivyo? hayo makombinesheni uliyoyaorodhesha nimeyasoma kama extra kalikula.
Mimi nimekuwa mhandisi tangu nikiwa kidato cha kwanza!!! karibu kichuri obhusara.

Hapo kwenye red ni eghichuri Mura, kananke ubhaye!!!!!!!!!

Yereuuuuwiiiiii.... umenkumbusha mbali kwweli!!!!
 
Basi mama mdogo nimekubali matokeo....Naona baba mwenyewe kafa kaoza.....Afu mtu mwenyewe anapenda kudumisha mila...Lakn usijisahau iam watching you!!

We mtoto mimi sikuwezi kabisaaaa, ninachokukataza ndicho unachofanya, khaaaaa!!! mwaJ mwenyewe anapenda sana kudumisha mila na hapo ndipo tuliposhibana.
 
Last edited by a moderator:
Basi mama mdogo nimekubali matokeo....Naona baba mwenyewe kafa kaoza.....Afu mtu mwenyewe anapenda kudumisha mila...Lakn usijisahau iam watching you!!

Loh! Nimekupendajeeeeee! Yaani sasa kale katabuleti utakapata bila shida mwanangu! Mwita Maranya njoo msome mwanao Zion Daughter! Kweli wagombanao ndio wapatanao! Na tudumishe mila! Mnh! ila sio zote, maana....!
 
Last edited by a moderator:
Pacha halafu nna skendo zako zinajaa Gazeti zima hata nafasi ya matangazo haibaki.... Hivi ni kwa nini lakini?
Heeeee! Jamani pacha nani kaamua kunichafulia jina? Wewe mwenyewe wanijua pacha wako nilivyotulia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom