Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Hongera sana mkuu Mwita Maranya kwa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa........
Vipi Pilau limepikwa leo hapo Nyumbani tuje kusherehekea?
Hahahahaha... mzee pilau saahizi? kwa heshima yako kuna btulo moja maalum nimeitunza kwa ajili yako, karibu sana.