Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,905
- 61,638
Bila kunywa hivyo vitu utashindwa kurembua machoWeee sheeeendwa! Mie mnywa juice sio hayo makitu.
Bila kunywa hivyo vitu utashindwa kurembua machoWeee sheeeendwa! Mie mnywa juice sio hayo makitu.
Ye ajue tu na smart tupo sana. Watafanya figisu wataroga mchana kweupe watachawia sana watakuja na ids mpya kutuchallenge sie tumekaaa paleeeeeeeeeeeeeeereeeee hili husiano mizizi yake imezama sanaaaEfforts?
Hatuwafahamu hawa watu in person, lakini tujifunze kitu kinaitwa “love language “ Kama Smart anafanya hivi , unajua Mahondaw anafanya nini in return?
Judge Judy umeshajipa kazi ya kuhukumu kwa kile “walichoamua kukuonesha “. Wakati huo kuna vingi vinaendelea kwenye maisha yao..?
Haya mwenetu.
Macho yenyewe yakurembua nachurari ikitokea nikanywa si balaaaa😄😄😄😄😄Bila kunywa hivyo vitu utashindwa kurembua macho
Mtu akiwaroga niuzie mimi kesi, yeye na mganga wake wate nawageuza misukule.Ye ajue tu na smart tupo sana. Watafanya figisu wataroga mchana kweupe watachawia sana watakuja na ids mpya kutuchallenge sie tumekaaa paleeeeeeeeeeeeeeereeeee hili husiano mizizi yake imezama sanaaa
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiisa. Mwongozo anatoa Smart911 tu wakibisha watajijua wenyewe!
hatari sana, ebu geuka nikuone vizuri.Macho yenyewe yakurembua nachurari ikitokea nikanywa si balaaaa😄😄😄😄😄
Uvumilivu umemshinda dadeq Smart mnoma nakilootatu😄😄😄😄😄😄!Mbona unaonesha wivu waziwazi
Enjoy sana kwenye siku yako ya kuzaliwa...Thank you for the sweet birthday wishes love. My birthday is wonderful because of the love and warmth you sent . I'm so grateful for all the beautiful birthday wishes! You mean the world to me, and I feel so lucky to have you in my life Smart911 . Thank you all for making me feel extra special.
Thank you Khantwe!Happy birthday mrembo
Umeanza kulewa mapema sana.hatari sana, ebu geuka nikuone vizuri.
Thank you sweetheart nalalaje weee umesimama💕💕💗💗Enjoy sana kwenye siku yako ya kuzaliwa...
Hakuna kulala mpaka kucheee...
💕 💘 💓 ❤️ ❣️ 💞
Aya nitakuja hapo nyumbani tuongee mambo ya kiutu uzimaUmeanza kulewa mapema sana.
Enjoy 😊Asante mamy