Happy Birthday Mahondaw ❤️

Happy Birthday Mahondaw ❤️

Inatakiwa mtu ampende mwanamke wake, ila effort zinatakiwa ziwe mutual, sio kila siku Smart 911 tu ndo wa kushoboka

Mara ngapi ushaona humu jf mahondaw anampost smart911 🙃 binti kiziwi
Efforts?

Hatuwafahamu hawa watu in person, lakini tujifunze kitu kinaitwa “love language “ Kama Smart anafanya hivi , unajua Mahondaw anafanya nini in return?

Judge Judy umeshajipa kazi ya kuhukumu kwa kile “walichoamua kukuonesha “. Wakati huo kuna vingi vinaendelea kwenye maisha yao..?

Haya mwenetu.
 
Birthday girl unadeka weye jibu tu mama, jibu lako moja nitafarijika sana
Hapo kwenye kudeka sasa smart mwenyewe anajual!

Weee H unanchocha sio!!

Ndiwooo tulianza kufahamiana humu humuu !
Tulifokeana sana tulisonyana sana Smart alinichokoza sana hio siku hadi nika m notice ikawa kila nikimuona namfyonza😏😏😏
 
Inatakiwa mtu ampende mwanamke wake, ila effort zinatakiwa ziwe mutual, sio kila siku Smart 911 tu ndo wa kushoboka

Mara ngapi ushaona humu jf mahondaw anampost smart911 🙃 binti kiziwi
Leo hii Smart anashoboka namie tena sio mie ndo nlikuwa nashoboka nae tena kipi nikipi?????

Waja mna husdaaa kilomiaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom