Santo sana rafikiiiii Amin Amin !💕Kheri ya kuzaliwa Rafiki uishi miaka mingi.
Napokea mwenyewee dear do the needful babuakeeee!Nani anapokea zawadi zake?
Heri ya kuzaliwa Mjukuu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na afya njema kila siku.
Acha kabisa min ukisikia penzi la kipekee ndohili sasa And We are still together nomarawaaaaaaa!Mhmm naona mnapendana kwenye mabando yetuView attachment 3596938
Amin and AminMaisha marefu kwako
Namtuma wakala afanye jambo soon mjukuuNapokea mwenyewee dear do the needful babuakeeee!
Kila la heri kwenu, najua mwaka huu wewe na smart mtatukaribisha kukata keki mkioana 🙏🙏Amina kubwaa babu
Igweeeeeeeeeeeeeeee babu ushasema nani apinge??????Namtuma wakala afanye jambo soon mjukuu
Kila la heri kwenu, najua mwaka huu wewe na smart mtatukaribisha kukata keki mkioana 🙏🙏
Nimechoka kuhaidiwa koti la babu kila mwaka kwenye mahari na siletewi 😜
Awamu ya kwanza ilikuwa koti la babu la kununuliwa pale Karikaoo, saivi nataka lije na ndege kutoka Italy kabisaIgweeeeeeeeeeeeeeee babu umeshasema ninani wa kupinga??????
Nasote tuseme Amina kubwaaaaa. Koti tu ushapata sema kingine babu akeeeer😄😄😄😄
Umepata babu hili halina ubishi . Anything for babu akee you know!Awamu ya kwanza ilikuwa koti la babu la kununuliwa pale Karikaoo, saivi nataka lije na ndege kutoka Italy kabisa
Msisahau kuniletea na zawadi ya Kiko tu 😜
Zawadi nshapewa muda mrefu kipendhiiii Smart hanaga ubabaishaji Kabiiisa. He's a man of actions hata ukiwa rafiki ake tu utafurahi naroho yakooo.Umpe zawadi inayoendana na umri wake, isiwe maneno matupu..!
Shukrani mjukuu, jiandae kupokea zawadi ya babu yako tuUmepata babu hili halina ubishi . Anything for babu akee you know!
Eendiwoo ndiwooo ni ke .Ooh kumbe jinsia KE heri ya kuzaliwa ma mtu
Hurrrray kwa babu Hurrrray!! Feeling pleased babuuShukrani mjukuu, jiandae kupokea zawadi ya babu yako tu
Kwanini simp?Tuzo ya simp d'or kwa hapa jf inabidi apewe huyu Smart911
Kuna siku hata moja huyu mdada mahondaw ashawahi kukupa shout out.
Ni kweli ukiwa na roho safi watu wakipendana unafurahia ila kama umetoka kwenye heartbreak. Kila tabasamu na kicheko chao unaona kama wanakung'ong'a na unatamani wagombane muda wowote ule 😁Happy birthday babe wa Smart…
Ukipendwa wewe tunafurahi na sisi.
💯 Boss!Ni kweli ukiwa na roho safi watu wakipendana unafurahia ila kama umetoka kwenye heartbreak. Kila tabasamu na kicheko chao unaona kama wanakung'ong'a na unatamani wagombane muda wowote ule 😁
Healing ni kwenye nchi zenye better healthcare na jamii zinazojielewa, bongo tunaishi na trauma tu hadi ukutane na mtu wa kukubadili moyo.💯 Boss!
People should normalize healing first.
Nikumbushe Bday yako lini, nikufungashie mijizawadiKheri ya kuzaliwa Rafiki uishi miaka mingi.
Unapokea ZAWADI kwa Namba ipi, Rafiki upate Brutal kadhaaNapokea mwenyewee dear do the needful babuakeeee!
Amina kubwaa babu