Happy Birthday Mahondaw ❤️

Happy Birthday Mahondaw ❤️

Attachments

  • Screenshot_20260529_174200_Chrome.jpg
    Screenshot_20260529_174200_Chrome.jpg
    131.6 KB · Views: 9
Hapo kwenye kudeka sasa smart mwenyewe anajual!

Weee H unanchocha sio!!

Ndiwooo tulianza kufahamiana humu humuu !
Tulifokeana sana tulisonyana sana Smart alinichokoza sana hio siku hadi nika m notice ikawa kila nikimuona namfyonza😏😏😏
Kumbe ninaweza kupata mke humu ehee
 
Hongera sana Mahondaw kwa siku nzuri ya kuzaliwa , yote mazuri ulitamkiwa kwenye uzi huu yawe hivyo mara dufu, nami nakuombea leo yako iwe bora kuliko jana dada yangu.
 
Leo ni siku ya kipekee sana kwako. Ninayo furaha sana kukutakia kheri ya kuzaliwa.

Wewe ni zaidi ya mpenzi kwangu, ni rafiki yangu wa kweli, faraja yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku.

Nakutakia maisha yenye furaha, afya njema, mafanikio na upendo usioisha.

Mungu akupe miaka mingi yenye baraka na kila ndoto yako itimie. Endelea kung'aa daima, kama ulivyo na iwe kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa.

You are a star, which shines forever.

View attachment 3596879

Cc: Mahondaw
Hongera sana Kwa Baby wetu.

Happy Birthday my wife wake Smart
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom