Happy Birthday Mahondaw ❤️

Happy Birthday Mahondaw ❤️

Generation ya wanaume (baba na babu zetu kurudi hadi kwa Adam) wanaowekeza vingi k.v attention resources na mda kwenye talking stage kwa mwanamke, huku wao wakipata chenga chenga za mkate, inaenda kuisha taratibu, jinsi maarifa yanavoongezeka, chivalrous men kama kina smart911 wanazidi kupotea..

Wadada wengi mtandaoni wanalalamika na sisi wanaume kwenye early stage za mahusiano tunapiga vizinga wadada 😁 tena wanasema kauli za wanaume hao zipo hivi (mamtu una elfu tano hapo) nikajiuliza dooh ni kweli au story, kama ni kweli, male species tumefikaje hapo 😮‍💨 binti kiziwi ephen_ ShesRise_1
Mtapotea nyiee ila sio Smart. He's so unique and amazing.
Acha complications zisizo nakichwa wala maskio .
 
I know rafiki usiwazeee!

Santo sana zawadi napokea as usual
Kuna jamaa tulikutana tu kariakoo akaniuzia sandal pale China plaza na jezi ya Taifa ya Congo last year, tukabadilishana namba akawa mwanangu tunapigana banter kabisa whatsap maana yeye ni manU leo naona kapost status akiwa kavaa nguo za maafsa polisi anatunukiwa nyota leo🙌
 
Hongera zakeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom