kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Sijasoma maelezo lakini nimesikitika sana
Wanafiki shirikishi hahah Tuishi humohumooo!!Uishukuru na jamii forums sasa kwa kuwapeni population kubwa ya wanafki shirikishi, wanafki wanaowapenda😁
cc
Tajiri Sina BAYA
Kabiiiiiiiiiiiiiiiisa.. Smart zimwi langu tunajuana kwenye jua kwenye mvuaaaa!!sio smart tu bali hata wew pia, kwani yey anayako na wewe unayake.
Hapo asikosekane mmoja
Waonaje ukawa special and being loved to me. tukawa mfano kama wenzetu hawa wawili.Nimefika mkuu
Khakhakhaaa...!!!! Mambo yake tumuachie mwenyeweSijasoma maelezo lakini nimesikitika sana
kwanin kikuskitishachoo?Sijasoma maelezo lakini nimesikitika sana
Ila hawa watu Smart911 na Mahondaw hawana BAYA Mkuu tunawapenda kutoka mioyoni.Uishukuru na jamii forums sasa kwa kuwapeni population kubwa ya wanafki shirikishi, wanafki wanaowapenda😁
cc
Tajiri Sina BAYA
Wewe si mume wa mtu jamani?Waonaje ukawa special and being loved to me. tukawa mfano kama wenzetu hawa wawili.
Kamati kamatiniii!
Haya mkuu, ndoa lini?Khakhakhaaa...!!!! Mambo yake tumuachie mwenyewe
😍😍😍Kamati kamatiniii!
Hbd to me💃💃
Ni mwendo wa ku-"cc" each other maelekezo na miongozo🤩
AMINAAA Mungu abariki ikawe kherii na baraka.Kabiiiiiiiiiiiiiiiisa.. Smart zimwi langu tunajuana kwenye jua kwenye mvuaaaa!!
Aishi sana Smart wangu
Wabheja sana. Kwenye Huu uzi nami nakupenda piaah ila sio kule unakonitagg
Hallelujah!!!! Amina kubwaaaAMINAAA Mungu abariki ikawe kherii na baraka.