Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Nipe muongozo,RafikiThank you Tresor! Zawadi zinapokelewa
Nipe muongozo,RafikiThank you Tresor! Zawadi zinapokelewa
Kabiiiiiiisa.. mambo yake tumuachie mwenyewe!!Hayanaga muongozo.....
Happy birthday kwake
Na wewe ukiweka couple yako humu nahamia Yanga walah!!Mwasibu umefanya nimecheka na hilo neno lako. 😀😀😀
Namba ni ileile rafiki nasubiria najua wee mzungu huwezi niangusha😁Nipe muongozo,Rafiki
Cheka uongeze siku za kuishi rafiki! 😘😘Mwasibu umefanya nimecheka na hilo neno lako. 😀😀😀
Amen amen babuuuu!!!Namwombea maisha marefu yenye furaha, afya njema na mafanikio tele.
M/Mungu aendelee kumlinda na kumwongoza kila siku ya maisha yake.
Heri ya siku ya kuzaliwa Mjukuu🥂
Bibi niko hapa nawasubiri niwape# ya kutoleaTatizo binadamu wa siku hizi wabishi sana!😄😄
Unaomba namba ya bibi ya wenyewe? Shauri yako!
Walinuniana almost miaka miwili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mara ya mwisho niliona mmeachana. Kumbe msharudiana aiseee
Stay tuned .Miongozo Jr3 is on the way 🤰🕺Mtie mimba sasa.
"Wanakuja kukupa moungozo"
Ngoja Smart aje kuwapa muongozo.Bibi niko hapa nawasubiri niwape# ya kutolea
Bila smart naishije mimiiii uwiiiiiiii!! Tukiachana jf mi ndo bye bye 😁😁😁😁😁!Walinuniana almost miaka miwili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kanipa go ahead ya kutoa mwongozo on behalfNgoja Smart aje kuwapa muongozo.
Weeeeee Mapenzi matamu hasa ukipata mume best rafiki kama Smart ake kimie!! A muzungu by heart and characters!!Pongezi kwenu mapenzi, hata mimi mpenzi wangu leo ana....hehehenatania bhn anyways Mapenzi yafutwe
Long life to you..Kanipa go ahead ya kutoa mwongozo on behalf
Hakiiiiiiiiiiiiika. Hayanaga mwongozomambo yao waachie wenyewe ,maana watu wanambo bana
Nisamehe bure!!!Weeeeee Mapenzi matamu hasa ukipata mume best rafiki kama Smart ake kimie!! A muzungu by heart and characters!!
Amen tuishi sana SM!