iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,149
- 9,968
Kama ndo yeye hilo shape kwenye profile hakika jamaa Smart911 anafaidi sana..Tajiri Sina BAYA akiona uzi kama huu anatamani kujinyonga. Enewei happy birthday to you Mahondaw , mpaka leo huwa najiuliza siku ukibadilisha hako ka - avatar sijui nitakuwa mgeni wa nani
cc
Mshangazi dot com
Happy Birthday [emoji322][emoji512] kwake shemeji yetu.