Happy birthday Madame B

Happy birthday Madame B

Happy Birthdaay dearest...
Mungu akujaalie miaka mingine 27 na zaidi. Iwe ya amani na upendo... God
bless yu much Madame B!

Asante sana HEART.
Nakushukuru sana.
 
Last edited by a moderator:
56.gif
Madame B
 
Last edited by a moderator:
Alaa Kumbe mdogo wangu wa
nne kuanzia leo ntakuita dogo, happy bday dogo Madame
B

Jamani dada Ciello,
Me Mkubwa sana miaka hiyo si mchezo.
nakaribia uzeeni mamito.
Nakushukuru kwa kweli,Tufurahi pamoja.
 
Last edited by a moderator:
My heartfelt congratulations on ur bday Madame B. Wajua u mwalimu wangu nikupendaye. Nitajitahidi niwepo kwen mnuso.
Kijino asante kwa kutujuza hii hbr njema!
 
Last edited by a moderator:
Ooh this is sweet.

Happy bday madame. May you see many more years of good health na mafanikio mengi including mabuzi yanayochunika.

Tutake razi sie tunaoishi vingunguti !
Heshma yetu hailindwi now dayz jamvini etii?
Nway MADAME BII Nikutakie kila la kheri kwa kuifika miaka hiyo!
Naimani kipepeteo ushakipiga nyundo zamani au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom