Happy birthday Madame B

Happy birthday Madame B

Naona umeweka tafsiri tofauti na yangu!

madame b.jpg

naona upo tayari kwa party....ila umezeeka sana ndomana shemeji kadaka dogo dogo
 
Hahahahahahahahahaha
wala sijawa mpole na niwe mpole kwa sababu gani?
Nimeona ni kuache upumue!

Nimekuona jana sehemu una rusha ndowano sema haikunasa samaki, pole sana!

Nimelala salama kaka mbona umekuwa mpole sana siku za karibuni,sipati tena vitisho toka kwako Kamanda
 
Hahahahahahahahahaha
wala sijawa mpole na niwe mpole kwa sababu gani?
Nimeona ni kuache upumue!

Nimekuona jana sehemu una rusha ndowano sema haikunasa samaki, pole sana!

Hahahahahahhahah,uchune basi loya,si unajua atafutaye hachoki na akichoka ujue keshapata,vipi lakini hizi tetesi nazozisikia..??
 
Hahahahahahahahahaha
haya nimeuchuna!
Tetesi gani hizo umesikia!

Hahahahahahhahah,uchune basi loya,si unajua atafutaye hachoki na akichoka ujue keshapata,vipi lakini hizi tetesi nazozisikia..??
 
Acha ujinga dogo, usipende kuharibu sherehe za watu, HAPPY BIRTHDAY Madame B , usimsikilize huyo sharobaro wa arusha

Angejua mi nimeshaanza kuzifanyia mazoezi hizo vitu afu ye anataka kuzi ban. Hapa nshazunguka uwanja mara3 navuta mida kusubiri ratiba ya Madame B
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom