Happy birthday Madame B

Happy birthday Madame B

Kua aisey bwan'shee aendelee kufaudu mirinda kwani pepsi zasumbua gesi ujue?
 
Nazima mishumaa 27 Mwita Maranya

Hahahaha! Mtoto wetu ana miaka 13. Huyo baradhuli gani alikubaka ukiwa na miaka 14. Nielekeze nikamnyonge LOL

On serious note, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Upate watoto wengi waizunguke meza yako wakuzalie wajukuu wengi upate kucheza nao.

BTW hii siku kuangukia weekend yaweza kuwa mpango wa Mungu. Watu wa Boko tunakukaribisha kuserebuka na kunywa bia na bia na bia nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Today is your great day,i
wish i would be around you but now am in j'burg south africa for a
couple of days,

there are things i would like to say to u ma luv on ur special day;Iam
4rever thankful God sent u ma way,
like a gift from up above, u showed me how it is to feel really luv,i
know many mountains we've had to climb n sometimes forever has seemed
like a very long time,
yes we have endured our share of pain but together we hv so much to
gain.bigger mountains may lie ahead,but together there is no hill we
cannot tread so always remember my luv for you and there is nothing
together we can not do,i' ll be here 4rever,my luv to u is true,the
person beside me,that would be u! I will be back in tanzania within next
week,wait for me My love Madame B,,your huz Chimbuvu,

SoSorry Hubby Wangu kwa kuchelewa ku reply.
BTW Honey wangu,yootee umemaliza wewe,
Me sina usemi,
Sanasana nakusubiri kwa Hamu wangu.
Mpenzi,nimebaki mpweke lakini muda mchache tutaonana.
Rudi tufanye ile Party yetu.
With Much Love,
Your Waif,
Madame B.
 
Hahahaha! Mtoto wetu ana miaka 13. Huyo baradhuli gani alikubaka ukiwa na miaka 14. Nielekeze nikamnyonge LOL

On serious note, nakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Upate watoto wengi waizunguke meza yako wakuzalie wajukuu wengi upate kucheza nao.

BTW hii siku kuangukia weekend yaweza kuwa mpango wa Mungu. Watu wa Boko tunakukaribisha kuserebuka na kunywa bia na bia na bia nyingi.

Mkuu Asprin , alibakwa wapi huyu ni mapepe yake tu, tena naskia yeye ndo alimtongoza jamaa, ukitaka ukweli muulize Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Hivi inaruhusiwa kumchokoza mtoto aliyezaliwa leo..??
Naomba mwongozo Baba V kabla sijaanza..............
Happy Birthday to U @Madame B
 
Jamani TANMO,
Nimekula mifuko 27 ya Uvinza.
Asante sana jamani.
Tuko Pamoja.

Kwanza nipe heshima yangu salam ya mdogo kwa mkubwa. HAPPY BIRTHDAY TO U. NB. Kuanzia leo uwe unaniamkia sawa eeh
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nipe heshima yangu salam ya mdogo kwa mkubwa. HAPPY BIRTHDAY TO U. NB. Kuanzia leo uwe unaniamkia sawa eeh

Jamani mbona mwanioneaaaaaaa
Dena Amsi,usijali Best,
Utaipata.
ila najua kila kitu,me mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ODM mida hii ulitakiwa kuwa wapi?

Mwanafunzi wangu Kaizer nashukuru sana kwa kweli,
japo umenisumbua sana darasani enzi hzo.
Njoo huku usherehekee B'day na mwl. wako.
 
Last edited by a moderator:
naona kijino anakupa kampani hapoooooo



11436698-women-with-party-hat-eating-cake.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom