####### Happy Birthday Kivumah######

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,423
1,912
Mmezaliwa siku moja na JK? LAKINI HONGERA!!!!

IMG_3625.JPG
 
Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,425
1,036
itabidi tutafute mtu ambae hatumii narudia tena hatumii pombe
tumuweke kwenye idara ya vinywaji.... ..

idara ya mapambo King'ast
Idara ya Vyakula AshaDii
idara ya maombi Wiselady
mabaunsa Kakakiiza, na "REJAO"
DJ wako wawili DJ babu na nanilii

V.I.P
Asprin, Klorokwin , MJ1, Kaizer, The finest naendelea kuandika hizi invitation cards..

naomba ukutane na uporoto , hakikisha kila kitu kuhusu wageni kiko sawa..
Nakutegemea sana usiniiangushe ... mwahh:)

...@Red, hapo chachaa. watu Babuu babuu.....
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,199
17,991
itabidi tutafute mtu ambae hatumii narudia tena hatumii pombe
tumuweke kwenye idara ya vinywaji.... ..

idara ya mapambo King'ast
Idara ya Vyakula AshaDii
idara ya maombi Wiselady
mabaunsa Kakakiiza, na "REJAO"
DJ wako wawili DJ babu na nanilii

V.I.P
Asprin, Klorokwin , MJ1, Kaizer, The finest naendelea kuandika hizi invitation cards..

naomba ukutane na uporoto , hakikisha kila kitu kuhusu wageni kiko sawa..
Nakutegemea sana usiniiangushe ... mwahh:)

Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,968
You guys AshaDii, AD, Kivumah (Birthday boy mtundu kweli), Sangara, you're killin me with laughter lol!!!
 
Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,425
1,036
Kabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)
..hhaaahhaaa hha. Umesikika. Nadhani ombi lako litafanyiwa kazi immediately
Abiria linda mzigo wako. True Dat
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,968
Happy Birthday Kivumah mimi natoa offer ya wewe kwenda Massage Parlour over the weekend
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Top Bottom