Happy Birthday Ivuga

oh! hilo tu umepata, just mention unataka kwenda wapi, bili kwangu. today is you special day, you deserve a treat!

turuke zetu internationally ...ticket za ndege is up to me..mambo ya bill sijui nini wala hata sio ya kuongelea mimi ni the don na wala sijisifii... unapaona hapo..angalia then nipe feed back




au hapa
 
turuke zetu internationally ...ticket za ndege is up to me..mambo ya bill sijui nini wala hata sio ya kuongelea mimi ni the don na wala sijisifii... unapaona hapo..angalia then nipe feed back




au hapa
hapo bomba sana.............. Du, kumbe tumekutana, hakuna KUPE, ha haaaaaa............... itabidi sasa tufungue kituo cha kusaidia wahitaji soon tukitoka huko, unaonaje?
 
hapo bomba sana.............. Du, kumbe tumekutana, hakuna KUPE, ha haaaaaa............... itabidi sasa tufungue kituo cha kusaidia wahitaji soon tukitoka huko, unaonaje?

sasa tunaondoka? fanya hiam si unajua kuwa unaniiba kwa wenyewe:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Yaani wewe unampa mwanamme mwenzio maua? Tena ya pink?

haaaaaaa. na aniombe radhi..sikuona ati maua hayoo..sasa huyu sweetlady yuko reception anapokea tu kial zawadi bila kuziangalia atakuwa kayapenda maua ndio maana kakubali kuyachukua
 
Last edited by a moderator:
i do appreciate .thankx a lot
halafu kijana mbona umepotea sanaa, ama mimi ndio nimepotea..
Majukumu kaka yametubana tunaingia kwa machale!
Naona kaka kale kamzizi kanafanya kazi vizuri kila mrembo anatishia usalama wa Mwali......! Bishanga atakutafuta
Lakini mmmh kuna ile CUTE na Fixed Point zingelikuwa embe dodo unakula na majani.....! kila la kheri Ivuga

 
ha ha ha ....kwa vile huwa sichezagi bellow level
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…