The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Halafu Rick Ross naye inabidi afanye mazoezi maana ile habari kupata seizures dah nikajua jamaa ndio karibia anaondoka jamaa alivyombishi nasikia kasema yuko fresh anaenda ku-perfom North CarolinaHahahaahaaa DJ Khaled....hizo ndo swagga zake. Ila jamaa ana energy bana. And he is a good salesman too. Anajua sana ku promote album zake.
jamani mi nilichomoka nikaenda zangu club... hivi mnanikuta huku au ndio mmesha lala?
where is the after party? lolI'm still up. Wanna have an after party?
where is the after party? lol
Sure, I am just starting to have fun...On 7000 Brookside Parkway.
I got some cocktail shrimp, Tropical fantasy premium juice cocktail, there is plenty of apple martinis, a variety of wine coolers, there is a whole bucket of buffalo chicken wings....I mean...you name it....and I got it.
You coming over?
Sure, I am just starting to have fun...
Halaf kuna njemba imeiba aftershave yangu kwenye hii party, naomba ilejeshwe wakuu kabla hatujashushana busha usawa huu. ilikuwa kwenye mfuko wa nylon blue.
heheeh halaf King'asti ndo mwanamke pekee wa JF ambae anaendesha baskeli ya Raleigh.Cheki kwenye mkoba wa King'asti maana kashevu kwapa leo
Vinywaji vimebakia juice za Sayona tu....
Asprin kaondoka na kreti la Serengeti
Bigirita kaondoka na kreti la Kilimanjaro
Kaizer kaondoka na kreti la Castle (Usimtetee)
RR kaondoka na kreti la Safari
Kivumah kaondoka na kreti la Tusker
Rocky kaondoka na kreti la Pilsner Ice
Sweetlady kaambaa na keki ya watu
Uporoto kaondoka na nyama
Kloro kaondoka na masufuria
King'asti kaingia amechelewa kwahiyo kulipizia yeye kaamua kubeba kreti la soda na kutokomea nalo
The Boss alikuwa anachangisha waliokuwa wanachelewa kufika katokomea na hela za watu
...mie hata sijui nilifikaje Home, nimejikuta asubuhi nipo kitandani.
Finest ntakurudishia Crate lako baadae. ngoja nkanywe Supu kwanza
Vinywaji vimebakia juice za Sayona tu....
Asprin kaondoka na kreti la Serengeti
Bigirita kaondoka na kreti la Kilimanjaro
Kaizer kaondoka na kreti la Castle (Usimtetee)
RR kaondoka na kreti la Safari
Kivumah kaondoka na kreti la Tusker
Rocky kaondoka na kreti la Pilsner Ice
Sweetlady kaambaa na keki ya watu
Uporoto kaondoka na nyama
Kloro kaondoka na masufuria
King'asti kaingia amechelewa kwahiyo kulipizia yeye kaamua kubeba kreti la soda na kutokomea nalo
The Boss alikuwa anachangisha waliokuwa wanachelewa kufika katokomea na hela za watu
ahsantee, naona intake ya tatu imeanza kuingia.I wish you a belated happy birthday!