Happy Birthday Doctor @Asprin

Happy Birthday Doctor @Asprin

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio wake.

TAMBUA KUWA

Kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna
Kuna wakati wa kusoma, kucheka na kulia
Na mara nyingi nyakati huwa hazijirudii hovyo
bali kila kusudio ulilopanga lipo kwa wakati wake


Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa
Kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni
Mara nyingi nyakati zipo kwa malengo fulani

Na kuna wakati wa kuona kiumbe kipya na
kukifurahia na kucheka nacho na kuna wakati
wa kulia wakati kikiondoka duniani. Mabestito
Leo tunakumbuka siku ama wakati maalum kwa
rafiki kipenzi chetu
MZEE WA UPAKO DR Asprin
tarehe aliyotokea duniani kwa wakati wake maalum

Hivyo sina budi kumtakia kheri katika kumbukumbu hii
maalum yakuzaliwa kwake, Mungu ampe afya njema
aishi miaka mingi 100 ya utumishi wake wa kidaktari

Marafiki zangu mtakie ungana nami kumtakia heri best
wetu
Asprin

Warning: Mamods msimuvuzishe hii thread pls pls pls.

Wenu

Ladyf


 
Duh, mkuu umekula chumvi mingi aisee....!!!!!!!!

Africa_old_man.JPG
 
kumbe hiki kibabu leo ni siku yake ya kuzaliwa


happy birthday Asprin


Happy Birthday Mkuu Asprin
Uwe na maisha mema yenye furaha na amani na ubarikiwe kuyaona mema kwako na kwa familia yako
Hongera sana mkuu japo wengine wanasema tusiseme hongera bali pole kwani kila inapofikia Birthday mpya ndo unasogea zaidi kwenye ulimwengu ule mpya
Happy Birthday once again mkuu
#
Halafu wewe Heaven on Earth unapotea sana bana toka uchukue lile ua rose langu hujanijibu kama umekubali au umekataa sasa ndo nini
 
Last edited by a moderator:
hap b.day Asprin..mungu akupe baraka na kheri katika maisha yako yote yaliyo baki hapa duniani.katika kuadhimisha cku yako ya leo plz wasamehe waliokukosea.wapende wote wanaokupenda na wanaokuchukia.yatafakari maisha yako ulipoanguka simama na ujipange kwa upya..ulipofanikiwa ongeza juhudi.usisahau kumshukuru mama kwa malezi yote aliyokupa hasa kukubali kukuweka tumboni miezi tisa.jiulize angekutoa leo hii ungekuwa wapi.baba pia ananafasi yake katika shukrani.usisahau kumwabudu mungu wako na kumshukuru katika kila jambo....NAKUTAKIA MAISHAMAREFU NA MIAKA MINGI HAPA DUNIANI.
 
Back
Top Bottom