kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,426
- 18,151
Hb kiwatengu!!
Thank you malkia Kan..miss you!!
Hb kiwatengu!!
Mmh watu wanapendwa wakapendeka jamani! Ngoja nikalete msumeno wa kukatia keki basi.
Heri ya siku ya kuzalika shemegii
Hata ww Paw si anakupenda?
thank u sana sweety pal wangu..
Napenda kukumtakia
mpenzi wangu lahazizi, asali yangu, mtamu wangu,honey ,sweetieee,darling, baby,
kipenzi cha roho yangu,usingizi wangu,furaha yangu, my appetizer .umekuwa sehemu kubwa sana ya maisha yangu mungu akuongezee hekima kila umri unapoongezeka
HaPPY AnD eNJoyABle BiRHdAy My LOVE
NAWAKARIBISHA WANA CC wote
kushiriki nami kumtalia mpenzi wangu kiwatengu
this is for you love,love you so much,,,..........
copy Mamndenyi Baba V Lady doctor Zahra White Chocs Bishanga Katavi Arushaone Mr Rocky Kaizer Kongosho King'asti manoah, Kipipi watu8 THE BIG SHOW, EMT MMAHE Kiranga Remmy Erickb52 Chocs Heaven on earth Mrembo by Nature Evelyn Salt Smile na wengine wote mnakaribishwa kukata keki
ujumbe;...UKUBWA JIWE MPENZI
bahati nzuri una mke mdhungu
ingekua mbongo hiyo sweety humo
ndani usingelala leo!!
Happy birthday to u. Happy birthday to you. Happy birthday, happy birthday, happy birthday tou.
ladyfurahia nakushukuru sana kwa maneno yako yaliyojaa utamu..happy bday best Mungu akuongoze akulinde akupe furaha tele maishani mwako kama una mapacha upate doubledouble au couple kabisa
ndo hivyo. Wapo pamoja
ni muelewa sana sema huwa anayaweka moyoni
siku akitaka kuninyima anapata sababu..
btw! nampenda sana
ahahaaaaaThere are currently 11 users browsing this thread. (3 members and 8 guests)
Asubuhi hii imekuwa nzuri sababu ya huu utatu wetu wapendwa!
hahaaaa namuaminia my wiiii
keki yangu mniwekee basi
Mungu azidi kuwaunganisha..
akupatie na wa kwako mapema...
amin. Nawe ndoa yako idumu