haya mama abiria chunga mzigolisemwalo lipo sasa itabidi mimacho initoke
HBD. ... kumbe tumezaliwa mwezi mmoja!
kuna tatizo na hayo maneno mkuu..
aisee huyu mpenzi wangu huwa anaiita zaidi ya hayo...
nilimsoma jana sema mi nilijua wewe ndiyo unampeleka res na tukutuku yako...