ulidunda ila umetulia honey nimegundua kuwa wote hao ni wapita njia tu mwisho wa siku utarudi nyumbani
Mwee mwee mwanangu sikuona hii hongera sana son.
afadhali walijua hilo asante sana nakuupenda sana
Mmh watu wanapendwa wakapendeka jamani! Ngoja nikalete msumeno wa kukatia keki basi.
Heri ya siku ya kuzalika shemegii
mwananthropolojia yupo tu kiwatengu..atakuja muda wowote
sina shida yoyote lengo langu ni kuwatakia kila la kheri katika maisha yenu..