So, tunashangweka wapi?Asante sana..
m'barikiwe mno..
So, tunashangweka wapi?
Hapi basdei kiwatengumany hapy hapy returns!
Heh...kumbe vigezo na masharti...haya asantekila kimepangwa ni hapa hapa boma..karibu sana wewe na mr.
Ukija peke yako inaweza leta shida kidogo...
Heh...kumbe vigezo na masharti...haya asante
Hahahahahaha...speachless!!!nimeviweka kwako kwa sababu maalumu..hivi umesahau tulikotoka?